Android box

Wadau natafuta mi box s, nimeangalia kwa site yao nikipata ni 7k na iyo ni expensive, Kuna mashimo mnaeza juwa mahali naeza pata ni bei ya safara.

jiji
sort low to high
see what comes

Nenda avechi ushikishe na 6500…
Its a good device got a friend anatumia hii ma inabamba…

But how is 7000/- expensive? Hata kama ni upisant? Difference ya 500/- haitamsaidia. Hapa ni akubali kuchukua a worthy alternative. The Mi TV stick.

Does the mibox support Dstv now and showmax?

@Sambamba huwa ana import simu bandia kutoka China. Labda anaeza kuitishia.

Nunua kwa official store 6600/ https://www.mi-store.co.ke/mi-tv-box-s.html

How is 7k expensive surely?? Kwani unataka kuuziwa 1500??

:smiley: maliza hiyo sufferer

You can get a the Mi Android stick, there’s not much difference except the 4K/ 1080P, Ram and storage. Na kama unapiga kelele about 7K, I guess 4K isn’t your concern.
And they both have Android TV 9 with the same outlook.

7k si pesa mingi na pia si kidogo, nilikuwa nataka kuona Kama Kuna watu wamuenunua na a cheaper price.

In need it for downloading 4k movies,na flac music pale torrent

Natafuta android box pia for a friend i am thinking of going for MXQ Pro it’s around 4 to 5k ya 4gb ram 32 internal na android 10…playing 4k

I think i will go with the mi box s nimepita pale online na YouTube na ikona sifa poa sana hadi ikona cromecast