Andrew Kibe ni kama amehama Kenya

Huyu jamaa alienda US kutafuta funding ya hiyo radio yake lakini ni kama ameona US ndio the better option. Huyu next thing atatafuta mathe mnono wa kuoa apate papers :smiley:

[MEDIA=instagram]CRy4–NF1Tv[/MEDIA]

[MEDIA=instagram]CR74HT0lt03[/MEDIA]

Hustle muhimu

haha more life to him

Ex wife wa Huyu boy huskia kujinyonga… Nigga leaving a stress free life, huku yenye Ana lea tu

@Watsonhelicopter ndo morio humchunisha kales ama

:D:D:D ni kamaamesahau ako na watoto

Kibe hawezi pewa papers, mefinists watateta waseme yeye ni misogynistic anga homofobic arudishwe Kenya asap. Mliona vile Amerix alinyanganywa Blue tick:D? Ogopa mefinists sana.

Dababy amekuwa blacklisted from performing anywhere juu alisema faggets are AIDS infested. Ni kungori jo. So kama anataka apenye itabidi ameacha kushambulia mefinists.

Is kibe really leading a stress free life? What makes you say so?

Hii story imenishtua sana. Whites wako na agenda deadly. Wanadanganya blacks ati they’re trying to do away with any sort of racism, but kumbe chini ya waba wanaintroduce gayism na wanaipeleka bumper to bumper racism. Basically, if you abhor na racism, you should despise homophobia. Goddamn

Gari ni kama bodaboda usa

My brother, the struggle is against poverty not your brother. Hustle muhimu as someone said hapo juu.

Credit card debt. Anywho acha boy ajishikilie momo mlami and live for once asahu hardships za vumbistan

misemo ya mashida shida hivi

hakuna gari huwezi endesha huko, na wewe zile matako utapanguza ndio ulipe monthly payment, mungu tu anajua

Kibe has always had a greencard . ukiwa na greencard si lazima uishi USA , you can be coming and going

Andy kube is a US resident. Ndio unaona hadi Ana drive.looks like he just went back home

Ukiwa entertainement industry, kupata visa si shida.

No life is stress free.

Ogopa a white liberal sana. Dababy amefinywa hadi aka apologize. Mfuko ulikuwa umekauka hadi akasema ne urimu

[MEDIA=twitter]1422255393980420100[/MEDIA]

So abandoning your kids is something African men are proud of?