And you thought you Knew Mombasa

Majina ya kuchekesha ya mtaani Mombasa
Si Watu
Magodoroni
Kaa Chonjo
Kaza Ndani
Mla Leo
Mafisini
Tua Tugawe
Shika Adabu
Ndongo Kundu
Shauri Yako
Mwembe Kuku
Mwembe Legeza
Ndunga Unuse

Hayo mengine nimeyasahau mnaweza kunisaidia.

1 Like

Hii place inakaa aje?

just the usual swahili houses and a few apartments coming up. only the name is strange.

Majengo Sindriya

1 Like

Bakarani
Mwandoni
Kibarani

1 Like

mafuriko kwa Mganga

1 Like

plot mafisini ni mangapi hivi. team mafisi needs an HQ

4 Likes

na majina za watu…how smone can name their child chapati mashetani beats me up to now…

Mabirikani

Stage inaitwa mayai nne
Stage inaitwa punda mingi

Mchuzi mkavu.- Some brothel ilikuwa hapo Bus station a long time ago.

1 Like

Kwani nlienda mombasa gani mimi. simba kapakata mtu pub. Anyone with that pic from klost

350-400k na hazina title

Msufi Mkavu at Mwembe Tayari! Malaya wenyewe walikuwa ni Wapare na Wachagga kutoka TZ!

Kidogo Basi
Toa Tugawe
Jomvu Kuu
Ngamani

Stage ya paka
ziwa la ng’ombe
Kiziwi (in Tudor)
Soko Mjinga

denyenye
kwa punda
kalahari
magongo msufini
moscow
mlango wa papa
mundeke…
jomvu madafuni.
bugubuguni…

Hiyo Mundeke iko wapi Col?

kiembeni…mbele ya star garden. maskan ingine hapo @Meria Mata anapenda kunywa… …

2 Likes

Hizo flats zinaharibu the feel of the town(Mombasa). Kenyans want to make everywhere look like Umoja.

1 Like

hahaha really?