Amos Wako

Story yake ni gani kwa 2022 elections ?
Mbona haskikani kwa siasa za Abandu ?

He reminds me of Machage,jama hakuanga na panganga Kwa campaign lakini he was always an mp

Mzee amechoka

Very calculative fella.

He will be there past August.

Naona jamaa akirudi kama nominated. Ogopa watu ya macho nne na ever presentfake smiles.