Amazing Fuel Economy :D

Jana after kucomplain juu ya jalopy kushake at high speed, I exhausted that fuel nikaweka 2k leo morning yenye sio excellium. Nimefanya over 300km na roughly Ksh 1800…to Nyeri and back. That is over 16km/l and I am very very pleased. No more shaking without excellium kwa system. :D:D:D:D

Kindly expound your discovery for us new village mates

Incidentally, a pal reported similar ‘shaking’ today. Happened some time in June, fuels exclusively at Total. Vehicle is old model Noah.

If its a 1500cc, post 2004 toyota model, thats normal. Kuna time nili hire fielder nika weka 2500 ya kuenda nakuru na kurudi, nilirudishia mwenyewe ikiwa kwa that ka tick below quarter yet nililetewa light ikiwa on.

si mbaya

Ni 1500cc NZE 2003 model. Nikicompare na mark X 2500cc ndio naona hii gari ni fuel efficient sana. Mark X ni guzzler by the way/

Hiyo ndio fuel ya hiyo safati na 1.8L na kiatu umeikanyaga proper.

he he…i guess total wanaibatiza sana na hizo detergents

Eeeh ok!

Wueeh.
Nduthi hunipa 16 kwa litre pia.

Sio 56km/l?

anasema nduthi bmw sio nduthi skygo umezoea

Wewe najua hata humaanishi bajaj…unamaanisha yenye wewe hugurumisha usiku kama kush yule mnono

nimeshachukua kanyoka kengine hapa na nkawachana na nduthi. ukitaka mbisha sema ngwee

Hapana tafasali…nimekula super saa hii

sikuli mharo kama kihii kiaganu…

A certain jalopy does more than 18km/lt. Full tank from kakamega (~ 33ltrs) hukuja hadi Nairobi inaenda kujaziwa Nakuru ama Naivasha on the way back depending na round za mtaani :).

Gari gani omwami?

so your saying without excellium your moti performs better?

It does not shake. That is the point.