Am village elder from expert member fayaaaaa

Ni mambo ya ajabu kabisa.

Kutoka kuitwa expert member(mwanachama mtukuka in genta voice)mpaka kuitwa mzee mwanakijiji aiseeee

Dear vpn msipandishe gharama zenu ili JF ikirudi kwa mlango wa pili nipate kurudi home sweet home kwa raha mustarehe.

Unafurahia au unasikitika?

Cc: @Mahondaw

A na B yote sawa mkuu

Hahah!!

Adi lithread jamani

Mwee mweee ina senga’s voice

Kujipongeza muhimu

Hahah! Hongera sana

Hahaha asante sana

Mimi nasema!!!tutaerewana tu! In Dr shika voice

Mrejesho pleassssss maisha ya u-elder yanaendeleaje?

Yapo vizuri kama messi na penalt hahahah

Hahaaa!

Umeshakuwa senior…

Yeah kwenye kijiji cha ujamaa…

Cc: @Mahondaw

Hahaa…! Msalimie mdogo wangu @Mahondaw

bravoo

Tena ingependeza uitwe kuku kamba mguun dadadekiiii

Hahahaha

Asante sana kakalake nimezipata… naona tunahamia tu nchi za watu tehteh

Unapiga kelele ugenini… angalia utapewa jembe ukalime.

Kalibu mwana kijiji