Alumnus say I

Avocado kwa fence pale Litu (Mortuary)
Vuruta sheet ya msee kwa dirisha, pewa avocado mbili nayo.
Sembe slice
Haijaiva lazima iliwe na kijiko
Top Layer ni ya form 4
Meal-card muhimu kuliko bible.
Head-cook (Ondego) and DH captain was god and jesus respectively
[ATTACH=full]127347[/ATTACH]

Collins Injera (na Jeshi ya 4 East) zile siku akiswitch between Cheering Squad na Bench ya School team ya Rugby (Muone hapo mbele katikati).
[ATTACH=full]127350[/ATTACH]

There was this guy Ndirangu. He was kanono and biiiig. Ungeeza kula shock venye alikua anapaa kwa kiwanja akicheza rugby. He was literally a flying fat guy. Kupita na opponents kama vijiti. Sijui ako wapi Siku hizi.
I can’t imagine how Kenya 7s would have been if the real Lions got in, kama akina Edgar Abere wa Impala, Makaka and Alex Luseno, the best hooker ever

Senior Teacher went by the Name Akaranga, so Gal yu a lead ya TOK ikiimba we used to replace part ya Girl and girl na Akaranga. Alikua anachoka sana akiwa teacher on duty anapita hapo hall Siku ya entertainment

https://www.youtube.com/watch?v=wTLsAuEEeBs

Them days when Vybz Kartel had emaciated dreads and was already churning out hits, kabla hizi tothi za Gaza zizaliwe

https://www.youtube.com/watch?v=H12k_UaTk30

9 Likes

Ulikuwa Mbale?

1 Like

Zi. Vyga. Kabla waswitch back to kakhi trousers. Otherwise Mbale walikua mabro. Chavaa ndo hatukua tunataka kuona mbele yetu. Siasa za watoto wa “ice cool”

3 Likes

Uniform ilibadilishwa juu kitambo ilikuanga khaki.

It was kakhi first. Tukiingia, navy blue ilikua imefika form 2. Form 3 na 4 walikua wanamalizisha kakhi. After leaving, they switched back to something kakhish again. Sijui ni greyish brown. Been a while hebu nicheki their latest events inakaaje

1 Like

Makhokho secondary

1 Like

Safi, hiyo ni sembe?
I miss ugali bwana

Bhaha haha haha. Neffa

sisi wa Pembroke House cunt relate

2 Likes

hehe

:smiley:

Hii ni TBT

1 Like

Makaka was good

1 Like

Mbona unaserviwa nje,futi mbili nyuma uko ndani ya choo?

Dining Hall ikishaekwa speaker za sato entertainment na disco light inakua sacred ground. Hakuna kuangusha soup ya skuma. Ukijaribu ni strike pap!