Alfajiri Sacco 001 1/1/2017

Nimefungua the new and improved Alfajiri Sacco ya 2017 with better services to the members. We are also accepting new members into the Village Sacco na mkumbuke kurenew membership. Haya wekeni sahihi na sabuni ya macho.

2 Likes

ugly face niaje…Chef Raphael amekukamua?

3 Likes

Nothing changed.

On Christmas Eve I totaled my car at 3AM. This one nothing happened because I stayed indoors.

1 Like

Naoga niende Mass ya 8 nikirudi nipate list ya hizo improved services

1 Like

Leo i swear nimepatikana,kwanza i spent 4 hours kwa gridlock in taru,only to find another one at salama,shait,isorait lakini,gud morning[ATTACH=full]76114[/ATTACH]

4 Likes

Nasikia sacco ina peana breako ya aged meat kwa members wote mwaka huu

Hapana menu ni new and improved, aged beef ni ya lunch lakini saa hii kuna meatloaf na aged samosa niaje @Jirani nilikula chips for new year

Nmesign asubuhi sacco Leo niko indoors kubond apa Na pale Na familia