Leo hakuna kuenda Mtwapa ile club iko juu ya petrol station. Itabidi muingie home kabla giza
[MEDIA=twitter]1148138638858960898[/MEDIA]
Leo hakuna kuenda Mtwapa ile club iko juu ya petrol station. Itabidi muingie home kabla giza
[MEDIA=twitter]1148138638858960898[/MEDIA]
I wish I could capture one and slaughter it. I hear their meat is very delicious!
Very salty.
Ushaikula?
@Okiya kwani Mtwapa iko Nyali?
hizo zikipatana na katoi kanazunguka ni snack ya jioni
Ndio nashangaa pia mimi. Wewe @Okiya utaacha bhangi kabla ikulipue akili.
@Okiya, achana na mambo ya wapwani… kuna MTU Fulani alimkasirisha @jumabekavu…
KWS walete Stephen Irwin wao hapo ahundle hizo vitu. They not dangerous nchi kavu. Kama ni hippo apo ingekuwa shida
Crocodiles are docile on dry land.relax