Mariam kwenye biblia
Alikuwa bikra aliolewa na
Fundi seremala
Lakini wewe hata sio
Bikra unataka uolewe na
Billionea
Unawazimu
Hahaaa. Ila maisha yanabadilika bana Mkuu hivyo tuwaache tu wasubirie hao mabillionea nina imani siku wakikosekana basi hao hao mafundi seremala watakuwa na thamani
IPO siku hata hao mafundi selemala watatafutwa hawatapatikana
Ha ha haaa…watasubiri sana…
Hahahahahaha
Wewee!
Nimekununia hapa hujui tu Sesten. Hahahaaaa.
Wee hujaona watu walivyo sambaratishwa kila mtu akakimbilia njia yake tena ghafla
Ukininunia utakua unamuonea mkimbizi mwenzio Hajar
Hahahaaaa. Haya bana.
Wacha nikuonee tu kwa kweli. Hahahaaa.
Tena Wazimu uliopitiliza aise.
Umepitiliza zaidi ya kupitiliza, Yaaani wa wazimu juu ya wazimu mbele ya wazimu
Teh teh teh kweli kabisa
hahahahahaaahahahahaah
Yaaaani papuchi imepigwa miche ya kutosha kiasi kwamba miguno ni sehemu yake hata kama ikikutana na kibamia, halafu mtu anakuambia eti anataka mwenye hela. Daaaaaa.Haaaaaaahaaaaaa
Inafurahisha sana…
Kipindi cha Mariam, useremala ulikua unalipa…
Kipindi hichi, japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu…
Cc: @Mahondaw
mkuu ni kwamba siku hizi wanazaliwa bila bikra…
just hivyo yaani…
umekuja kumchumbia wa kuwa mke au bikra, naamin umefuata wa kuwa mkee achana na bikra
Wanawake wa leo hawana tofauti na Wi-Fi. Mara huku kwa slay queen Mara kule kwa wa mama…