Akili za wanawake anazijua aliyewaumba.

Ngoja siku nikikutia mkononi ntajionea!

mwanamke akiwa na shida ya wenzie yote wanayomfanyia huona anaonewa ila ngoja azipate raha sasa anashau kila kitu hapo ni mwendo wa kurevenge tu

AT LEAST UMEKUBALI

Mi sio mbishi

uko vyema

Ukijaribu kumwelewa mwanamke, utamaliza umri wako wa duniani na hutokuja kumjua walau thumni. Kikubwa ni wewe kuwaacha na yao, ndiyo asili yao.

Ukijifanya unawashangaa, utapoteza muda wako bure

Exactly.

Shunie…

Abeeh
Shikamoo

Marahabaa! au kuna kitu wataka kuninyima binti weye?

Cha kukupa sina mm ndio mana nimekupa shikamoo

Swadakta! Kweli huna cha kumpa babuyo?