Akili ni mali

[MEDIA=twitter]1546883275964256257[/MEDIA]

Ubaya wengine wataanza kumpatia competition

App already inaundwa. Cheza na wakenya.

Huyo mzae hana bahati SAA hii

Celebrating mediocrity just like those niggers who stand in awe watching a villager in a homemade contraption called helicopter

Hakuna ubaya hapo !!!
Thats how things work and its normal.

Next…

Sikuna app ya traffic.

Drivers know there is an app, kwani huwa hau drive. Shida ni hawananga simu za android juu ya kuibiwa. Driver huwa anaacha kwa dashboard akishuka jamaa anapita nayo

Alafu you are on thika superhighway everything is zooming past saangapi dere atakua na time ya kufiddle na smartphone, apps mara credo… Easier to just let the guy do the hardwork for you and then call him

Mabonobo wengi hawajui google maps iko na live traffic update? Ukiona blue ujue ni nyweeeee, ukiona yellow ujua kuna ka traffic kiasi but kanasonga. Ukiona Red sema kimeumana. I never leave the house bila kuangalia google maps traffic conditions. Ive used longer routes but flowing traffic to save time than using a shorter route and getting stuck in traffic. Akili mtu wangu

Hata na app … nothing beats boots on the ground wadau. Huyu ako na team ya long range intelligence surveillance and reconnaissance (ISR). By Wed wanakushow how to avoid traffic Fri.