Wadau kuna mihela nataka kuinvest .
Sasa swali yangu ni mahindi ,ndegu ama maharagwe gani ikona returns mzuri wakati wa kuuza
Ndengu
Kwanza take time to kuelewa hiyo investment polepole, otherwise, you will be crying in the toilllet
3 months investments
[ATTACH=full]264068[/ATTACH]
hapa naona ukiumia