AG atuhumiwa kulidanganya Bunge, ashinikizwa kujiuzulu

https://www.youtube.com/watch?v=Ep_u6uE7OnA

Kabisa Mkuu wale wote walioamua kujivisha UZWAZWA wa kuunga upuuzi na udikteta, wizi na madudu mengineyo yote ya dikteta KAMWE dikteta hatawagusa, na hiki ndicho kinachoendelea sasa ndani ya Serikali. Dikteta Ndugai na Tulia pale mjengoni na mtoto wa dada yake Dotto A James ambao wanaomrahisishia uchotaji wa trillions pale hazina bila idhini ya Bunge hawa hawataguswa kwenye nyadhifa zao hizo labda wenyewe wamwambie dikteta wamechoka na hizo nyadhifa.

https://www.youtube.com/watch?v=rG9TnYFZ_VY

Sasa uma wenyewe huu wa Watz unaogopa maji ya kuwasha kweli kuna wa kumuwajibisha kweli hapo Jiwe?

Hebu na wewe tuambie tangu lini wabunge wa CCM wakawa wakweli?

Mfano halisi ni huyo AG wa CCM ameliongopea Bunge na anatakiwa kuwajibishwa

Huyu Magu anachojivunia ni hiyo Tume ya uchaguzi ya CCM ambayo anateua wajumbe wake wrote, kwa hiyo anaamini kuwa “atawaamrisha” watangaze matokeo ya uchaguzi yatakayomfurahisha yeye

Tukija kwenye Policcm, hao anajua anawamudu, kwa kuwa yeye ndiye Commander in Chief, anajua anaweza kutoa amri yoyote ile hata ile haramu, kuwa Jeshi hilo lipeleke magari ya washawasha popote pale ambapo anaona wananchi wanaprotest, na huyo IGP Sirro alivyo zuzu ataitii amri hiyo haramu!

Lakini wanachosahau hao mabwana ni kuwa katika histiria ya dunia hapajawahi tokea popote pale duniani, watawala wakaamrisha majeshi yao, hata kama yana nguvu kiasi gani, yakaweza kuzima nguvu ya Umma!!

Mimi siyo mtabiri, lakini kwa hili naliona wazi kuwa ipo siku, Magufuli na hao Policcm wake wakiongozwa na huyo Sirro wataburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa ya The Hague, kwa mama Bensouda kwenda jibu mashitaka yao ya kiwatendea unyama wa kutisha watanzania

Tume ya wizi wa kura na chaguzi kitengo kingine cha Ikulu.

Nguvu ya uma kwa Afrika! Nguvu ya uma kwa Tanzania!? Sio kwa karne hii wala miaka ya hivi karibuni mkuu

Unless spika amaeagizwa kufanya hivyo, vinginevyo haliwezekani, nchi ya mtu mmoja

Sijui niseme.