After Yesterdays Party

ile tuliambiwa kaa hatuli majani tusiende, @Web Dev has surfaced in Ndumberi saa hii. @Carbon kama uko karibu jamaa anadai fare ya kurudi jiji, msaidie tafasari
http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/kesho-nina-bash-kama-hutumii-kaa-kando.9845/
[ATTACH=full]16442[/ATTACH]

23 Likes

:D:D:D:D:D
mimi sina kakitu mfuko lakini niko na map ya shortcuts zote za jiji

8 Likes

hehehehe, achana naye basi, akipatana na Atwoli shauli yake basi, Leo @Mkufuu hayuko karura naangempa ride kwa bike

5 Likes

Mara ya mwisho kuonekana alikua amevaa shati nyeupe.

7 Likes

map ya shortcuts za jiji weka kwa ngugu wanaeza kupea job

2 Likes

Busaa + Majani

Mpe hiyo… huyu atafika bila shaka!

He he, hizo macho lazima alipitia Gichororo.

[ATTACH=full]16445[/ATTACH]

1 Like

Hata pia mimi nimesota sijui niweke pay bill no muni sort?

4 Likes

Ana urefu futi tano na inchi nane

2 Likes

[ATTACH=full]16452[/ATTACH]

hahaha,he is lost for good

Ire,iire. man like Web dev popopopo.

2 Likes

Thank God sikuenda iyo bash hiyo bash. ODM would have been less 1 influential vote

4 Likes

:D:D

Ananukia Creed huyu kweli ama ananuka matumbo ya ng’ombe?

huyo ata advert ya sabuni inaeza mkataa

1 Like

ana bahati hakupitia king’eero where they cut you when they find nothing on you; kwa kuwafanyisha kazi mbaya…