After separating with your spouse why do the in-laws hate you and even become violent with you

Niaje wazito…leo ni monday na niko na hangy…jana ilikuwa weeknd na sikuwa na chapa za kubuy my normal gilbeys so nikatumia option B nikabuy brandy ya Legend…nikajiwachilia nikiwatch game Ya man u…sasa hangy ni mob…sasa ni story gani nawapatiya…nikama dame unamuomba Kinyamo anakushow ana-nyesha iyo nikama itafanya usi-ingiye MKIA…T.T.W (Tommy Tiga Wana)

back to the topic…sasa mbona muki-separate na wife ama girlfriend the in-laws treat you kama mtu ame-murder msee…hata kama mulikuwa buddies na bro ya dame ana-kushikiya nare ile mbaya…ata may be mistake ni dame alifanya mu-achanee…?

You have to keep your loyalties to your family. They came first…ata kama ni beste wako na ameachana na dame, you will keep being friendly with the chic? you stick with the person who brought the other into your circle.

1 Like

heh legend ni mbayaa… nilikuanga jaba alaf nikaingizia club nikaongeza legend… niliketi kwa sofa za club kuamka ilikua balaaa ajabu

asubui kufika hangi nilikua nayo 2 days mfululiza

@nairobilay its not about loyalties am talking why do they hate on you after the break up

@highschooler legend sio mchezo kwanza uki-mix na coke apo unaweza kunywa mziga pekee yako juu sio kali sana…lakini hangy ndio noma

uku mtaa tunaitaa KURUTAA MBATAA…nimechapa ka quarter sasa naskia niko fiti

1 Like

Legend Mambio mbaya, nilikunywa 1/2 a month ago, bibi akaniambia nisiwahi kunywa hiyo pombe tena. Harufu ni kama umekunywa mnazi.

si umeumiza mtoto wa mwenyewe…

Mnazi hata ukitumia once harufu ya mkojo for next one week you can’t withstand it…

About in-laws its only that they have one side of story hence the hatred. The lady will always give a skewed story in her favour and remember blood still remains thicker.

hah ningejua ningetoa lock…
lakini iko tu sawa… iyo poison nilifunga chapter

ol monk sasa na za biashara huwezani nazo…si utuliye tu before ufike 45 ukiwa varjo

1 Like

@Luther12 saidia huyu mujamaa

An advice when you taking those hard liquor :::Kunywa maji mob

@Chiefkiumbe good advice there bro

Mixing with coke is asking for trouble. Next time take it neat na ukunywe maji mob.

1 Like

really

because you are a constant reminder that their baby gal is not innocent you distorted her picture in their eyes, and it now seems she will dish it to more than one dude sincw she has to get another one. kwanza hio deki yako wakaishika hivi watarushia doggie zao

@Koolibah Very true

Eka picha ya siku mbili mfululiza…

SIJUII NINI HII

Ni wewe umeandika ng’ombe hii!!!