After electing.

First of all munajua hawajaingia kwa choo za county na mumeanza kuwatoa makosa,
Sasa ile kitu iko ni kwanza muwapee time na space ndiyo waweze kupata nafasi ya kubreath,
Then after that mutaanza kusema ubaya na uzuri wao.

You can get a mniga out of cendro but you can never get cendro out of the mniga…

Kuwatoa makosa Straight Outta Cendro

3 Likes

It’s too early to do so

True that. A guy has barely warmed the seat, the vultures are already circling…

1 Like

Time is most important
kwanza apanguzwe jasho na bb yke.

Na wale wako kwa term 2 kama sultan

Hao ikiwezekana watolewe hadi nguo

Sultan alikuwa bash huko Dar sorounded by a bevy of beauties.