Afroman

Hapo zamani za kale nikiwa 1st year pale university, kama wote wa rika langu kazi tu ilikuwa nikutafuta coomer…kibahati bahati tukiwa na maboys kwenye club, nikatongoza dem mmoja msuper kuruka na akaingia box langu.

Dem alikuwa anaitwa Gianna, italian, hawawaitaliano walikuwa hawataki vybes za nywele ngumu kama mimi, lakini huyu akaona nimetosha mboga…
Nikachukua digits na the next weekend nikamualika twende out ndio niweze kukagua hayo makalio vizuri… nikampeleka club moja ilikuwa ya ma dancehall ndio anitingishie hilo tako…alikuwa ameiva sana kudondosa, sikupoteza muda nikayadara yale matako huku mamunju kwa wingi…nikajua leo lazima threshold… shida tu ilikuwa singempeleka kwa room yangu juu nilikuwa na komboa room in a family home…

Nikaona hapa lazima ni break rule no 1. , usiwai kula slices kwa nyumba ya dem,…akanialika kwake…studio flat smart sana mpaka nikaamuliza ana afford aje kulipa juu yeye pia alikuwa mwanafunzi…akani show wazazi pale italy wako poa…nika meza hiyo story…

Kuingia kwenye chumba sikupoteza muda…nikamtupa kitandani na kumpa haki yake…baada ya shoti la pili cd zikaisha… akaniambia haina neno yuko on the pill… makosa no 2. Mimi nikaona picnic leo nikamkojolea hadi bone marrow…
Asubuhi yake tukaingia shower pamoja nikamchapa nyingine ya kiamsha kinywa…

Baadaye tukatoka kabreakfast hapa na pale nikichora vile nitajitoa…mara tukaskia mtu anagonga mlango…Gianna open up…its me Nic… nikaona dem amebadilika sura akapata uoga ingine akakaa kama ghost…nikamuuliza nani huyo…ako…huyo ndio jamaa analipia hii nyumba… immediately kajasho kakaanza kutiririka…

Dem akakimbia chini ya kitanda akatoa set ya kutengeneza madem nywele…combs…dryers makasi etc…
Nikashika radar mbio mbio… Nic akaingia, jamaa mzee mzee hivi lakini vile hizo siku nilikuwa nimekonda angeweza kuniona vita ya mbwa… Gianna mbio akamshow eti mimi ni hair dresser wake nimekuja kutengeneza nywele…

Jamaa akaniangalia for a while alafau akasema…hurry up then…we ain’t got all day…alafu akajiseti kwa sofa remote control akachangamkia tele…

Nikashika yale makasi na jifanya eti kunyoa…kuchana chana ile nywele for kitu 20min…then Nic akasimama akatukaribia , hapa nikajua kimeumana, akaniuliza na lipisha mangapi…nikamshow 20 pounds…akaingia kwa wallet akanipa 30 then akasema anaenda kuoga…vile alitoka hiyo room sekunde mbili hazikuisha…

Tangu hiyo siku nikapata phobia ya vinyozi miaka mingi sikunyoa nywele nilikuwa najulikana kama afroman

Pole sana that was an adventure

:D:D:D what? ?? I swear uliponea.

Kuna mwingine aliangusha heka vile alijifanya plumber.

 na ile ya pimpinghoes alipigia mkambodia akamwambia apanue miguu juu anakuja ndethe kumkamua. Halafu akaenda kula dem wa sponsor. Sponsor akakuja na kuwapata in the act, alihepa bila longi hadi kwa mkambodia. Mkambodia akamuuliza kwani ulikuwa serious when you said utakuja ukiwa uchi?

He emerged out ‘strong’ :smiley: :smiley:

Link please

Waah!! The bitch is a keeper that was a clever idea.

I suppose you still think that mzungu sponsor didn’t know whats up?

Napiga hiyo picha vile Ulikua unatetemeka

hiyo ya jasho kutiririka naeza relate… mimi nishai sweat mpaka rasa… kutense ni mbaya aisee

quick calculation,atleast haukuambiwa uingie chini ya kitanda

sparta ashawai pewa baree akitoka kukula mzoga ya umo inaitwa flo
maboy walidai uyo dame huwalenga na mimi nakuja tu nakula nilitandikwa sijawai rudi umo

mimi my experience ya kwenda kwa kina dem siezi narrate saii labda msomewe kwa my eulogy.

Link @Ice_Cube?

Hehe atleast alinilipia taxi hiyo siku

Hekaya complete timo

Tangu hiyo siku sijawahi ingia nyumba ya kunguru ati slices

:D:D:D

@Icecube chief librarian leta link