african print shirts

kindly nakuru people assist where i can shop for african print shirts asap…hapana tusi mimi[ATTACH=full]1550[/ATTACH] [ATTACH=full]1550[/ATTACH]

I hate those shirts.si kwa ubaya.

1 Like

Ukinunua let us know

Si ununue shuka halafu upelekee tailor wa mtaa? Utapata shati kaa tatu hivi.

2 Likes

http://img.mogicons.com/s/poker-face-24.png
hapo sawa

Kwani wewe ni pastor?

actually i got something close,in one of the shops in biashara center 2nd floor kwa wenye wanatambua hii mtaa

haha i dont have to be one.

Hilton.

damn…hapo umefanya research ya kutosha:-)