Kuna jamaa ameniletea kadi ya pre wedding ati nimutolee kitu,yeye huwa hanunui nyama kwa butchari yangu ni si ati hakuli nyama,si nimwabiye atebeze kende?
onyesha hiyo kadi hapa tuone labda ni ndoto …
Mwambie anunue nyama ya wedding kwa butchery yako
hata hio nashuku nikimpatia kitu hawezi nunua kwangu.kama tuquarter anakataa na makilo je?
" NGELI " Bro!! ngeli!
Mwambie heshima ni kitu muhimu sana.
Lead by example… Hahaha
mpatie kakitu wakameat utaonekaniwo; halafu wedding present ikue guideline ya disposing diapers, they will need it soon
mwambie unataka sword fight kwanza. akishinda ndio utatoa kakitu
mnunulie hii kama gift
[ATTACH=full]11290[/ATTACH]
Mwambie usiwe mwepesi wa akili
Haha @Wakanyama uko na bushere wapi?
kuja Dago market nikunulie supu na kichwa ya mbuzi
Leo kwanza nimeshida niki dissect makagare ya nguruwe. You and I can make a great meaty couple.
Ni makagare ama makugala ?o_Oo_O
leviticus 18:22
Wacha atembeze kengele zake.Kwani atakusaidia na bibi?
ninini watu wote skuizi kuchangiwa kufanya harusi kama uwes afford? mimi present ntakuletea ndio hata vijiko na sahani uanze nayo life but hii kuchanga changa ati harambeee kuitwa itwa kila wikendi bana nayo ziiii
na hiyo harusi atafanya hata nyama atanunua kwako ya iyo sherehe? aih hiini mazoeano
nyama nitakua nikikuletea fillet na hump yaani iguku,utakuwa momo upende usipende.he he he lakini usifikirie kudissect makagari yangu