Advice to advise

Hello wadau.
So I have this nephew who just graduated in 2019 Bachelor of Education,science.And when things were at ease,he secure one in an extra county school huko mashambani.

Come this year,after Tsc adverts,aliapply lakini hakubahatika. Ni mwalimu wa Physics and Chemistry,where his previous station alikuwa analipwa 14000.

So kazi imeonekana Nairobi where malipo itakuwa 20,000 in a county school.Now that is where the dilemma comes.Ameshindws aende ama azoee ya mashambani. Being that salary itakuwa imeongezeka by 6k lakini maisha ya Jiji,anaona na kuambiwa eti that money is just too little.

Wadau,Mimi nimeshindwa how I’ll advise him.But before I tell him my piece of mind, can I get your opinion

mwalimu akae ocha naiyo 14k

Kindly,naomba ueleze sababu,naweza muelezea

let him try and bargain his standing at the current school, aone kama ataongezewa. He can easily say that he has gotten another offer that he is considering

Nilimuuliza about that,akasema the principle said ikiwa ni kidogo anaweza tafuta kwingine.But kuongeza anaweza ongeza tu 2k max

Akae ocha akigain experience akiendelea ku apply for like 2 more years…let him review the situation kila mwaka hes still young times on his side na achukue hiyo extra 2 k halafu anaweza anza ku coach students kiasi…huku ocha surveilance iko down. Good luck to him.

Ok,I understand.

Though one thing with his combination,ni hawezi Kaa hizo 2 years kugain experience.Actually he has the needed experience juu since 2017 he had been teaching tu graduation mambo ya fee ndio ilimpiga noma.

20k tao is little money if he intends on staying alone, maybe atafute msee they cost share on house expenses his advantage is that teaches have alot of free time jijini he can start a side hustle to top up on his salary

Is the county school an upgrade in his career?
Kama ndivyo aje avumilie akisaka greener pastures.

ocha 14k ni sawa, Nairobi hata fare huna

Akae tu ocha, 20k Nairobi atakuwa depressed. Hiyo pesa huwezi lipa rent, fare, food, utility bills, entertainment etc. Atakuwa constantly in debts

Akae ocha akingojea tupelekee pesa mashinani Bibiyaichieth ikipita.

ako na familia?

With a 6k margin, ocha is the best. Gharama ya basic needs ziko chini sana as compared to the city. Pia anaweza fanya kilimo kama side hussle.

Hana familia.Fare from his place to work is 20/=
Hata huko home alikuwa analipa rent 4k.

wachana na yeye ni mtu mzima-advice is what people ask for when they already know what they are supposed to do but they wish they didn’t know.
subuliwa na mambo zako ama umuadvice alafu akulaumu later

Mwambie achukue io 2k yenye principal anataka kumwongeza. 20k atarudi io ocha akilia machozi vile maisha ni ngumu

20 k nairobi:D:D:D

Ahsante wadau,nimewapata

20k in Nairobi is like 1 shilling. 14k in ocha is like a million shlings. Wacha akae ocha. Nairobi depression itaua yeye!