Advice tafasali

Ukitaka kujenge ka masionette place ka hii, foundation inafaa kuenda how deep juu ya maji when it rains?

[ATTACH=full]375380[/ATTACH]

11 inch min

Weka chuma at least10 inches deep, bro… :D:D:D

hii natomba bila condom

:smiley: ata mimi mbaya mbaya

Foundation hapa ni six inches deep.

Majamaa, nabonga juu ya hio land iko apo nyuma …

11 inch iko sawa buda

Considering trajectory ya kitambi chako na ufupi wako to climb a higher stairs inch 5 tosha babu…Lakini utahitaji nylon kuzuia maji kuingia ndani

Hapo panakaa reperian land, uko na licence yakulima iyo ploti

Vile umeambiwa weka chuma 10 inches deep na uhakikishe umetoa cotton soil yote

:D:D:D

Already checked with officials, wamesema iko sawa kuchimba. Naulizia depth yakuchimba … so far naona positive response apa

Apo sawa adui yangu

Apo sawa buda

Chimba ata nyuma

Watu wanasema 11 inch wanamaanisha nini? Hiyo ni black cotton soil iko hapo? Eish. enda utafute jembe inaweza enda 1 metre ndani. Kama hauna, enda ukalale peke yako:D

I

1 meter Kwani ni borehole anachimba :D:D

Hio side ya nyuma ni kwa wenyewe. Mimi sio land grabber kama @Hot water engineer ama ile @Khasia ya 150 ya kupekua nyuma ya ploti.

Banawe.