ADVICE ME

GREETINGS VILLAGERS…

Nimeona watu kama kabuda wanateta juu ya few threads nikaona niwachapie shida niko nayo…

Shida ni hii > God alinibless sana nikazaliwa nikakua kijana mmoja pointy kuruka. Of late nimekua na pride sana, madharau kwa watu, talking over people, being arrogant, nafikria I deserve everything juu mimi ni mhandy (popular opinion by the ladies :D:D). Kitu inaniuma ni sina kakitu, niko broke!! Kwanza nilicheki uwesmake ameeka mbisha za Masaku 7’s apa nikaskia kujinyonga. Yaani napiga picha mathorongongo wana mullah na wanaenda kunyanduana, kupigana ndakala! masaku saio mimi nimekalisha mchudes kejani juu sina doh. Manze najiuliza mbona God ajafungua milango sector ya dollare pia me niball nakatsika sana. Kwanza nacheki venye awa mabuda wana kakitu venye waudunga naskia kujimada, yaani kimtu kina weng lakini akuna fashion sense. God akifungua milango akuna mtu atakua anapiga e Kenya yote kuniliko io nimeapa!! Manze ushaikosa weng adi unaomba Sir Jah mtu atume mpesa kwa wrong number zikuje kwako?? Kama hujai basi haumezei msoto… Alafu kitu inanimezeshea kapsa ni eti nikapata brown chwane naomoka juu nina mraa flani na najua inaeza ivana. Mukuru siwes muomba mullah ju pia yeye ni mrazi kivyake. Staki kua dingo ama nianze kuwapona ama ninyakue kishuge (oppurtunities ziko) nataka doh clean.

But on the real I want help. I think my arrogance and snob attitude is what is making me stagnate in life financially. I believe that the lack of humility is my major undoing. So I am asking has anyone been in this situation before?? Where your arrogance or high handedness has cost you something valuable in your life, what was your turning point? What are the fruits of humility and hard work? because I am sure they are many… When did you make a breakthrough from being broke to being financially stable?

I’m just a young guy who wants to make it to the top through clean ways

@kamau nieke kwa Forester niende Masaku :D:D

1 Like

Translation kiasi buda. Ma-Couch P tuko wengi.

yawa sambarry please translate?

[ATTACH=full]8521[/ATTACH]

9 Likes

Don’t mind him this chokora just said how he is broke, has no job and does nt want to be a thief. His also tired of his usoto. He is asking how he can get chums… my advice to him is skia chokosh nenda ukanunue glue…uvute alafu ubebe gunia utafute machupa plastic…upeleke industrial area ka wahindi wata ku sort

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D

Una bahati leo nimeamka na side ya left ningekupiga mahedi!! MWEU

Soma tu the second part it’s sufficient

I check uwesmake acres of saku 7’s…:D:D:D:D

you wish someone’s hard earned cash strays to your phone and you don’t want to be a thief?

Hahaha… My friday is made…leaving for the bar NOW!

hahaha

Recommend therapist wa mtaa but come to think of it how will a therapist help me get money? Upus

Nipeeni advice bana

Hehe.Basically its like a rite of passage for every young man from being broke to having chums.all u need is patience and an hawk eye for opportunity.Get the chums the bitches will follow.unaeza jaribu vibarua inda kwa mhindi ama kama umesoma utie bidii na hiyo cert isiwe decoration kwa keja.

1 Like

Thanks jo na appreciate bado mimi kijanaa so as you said it is expected but ntatilia maanani what you said shukran

Now that you know your weakness it is simple make the necessary changes.
As for being broke look for a job anything that make you earn a shilling and not illegal.o_O

2 Likes

Well said villager. well said

Kupiga e ni kufanya nini?

Get a sugar mama, kwani hiyo hunkness yako ni ya nini?

sikuwa najua una utoto hivi.

1 Like