Administrator, your developers need to complete this feature

@administrator The ignore button should hide all the TOPICS and REPLIES.

2 Likes

Nikama hawajielewi Hawa admins

2 Likes

bug fixes zimewalemea.

1 Like

Tumewaskia wadau, working on it.

O rly

waturedio, fanya hima. Quality ya kijiji imeshuka zaidi.

Huyu ni pharmacy, amerebrand tu waturedio :grin:

@Electronics4u ebu kuja uone vile kijiji mmeifanya manyatta.

Are you addressing @Electronics4u or @Electronic4u?.

image

When is this feature going live? Kapanty anatumalisa na upus yake ya it’s junguuu time beaches