admin...

Mrng whats wrong with the ktalk interface since juzi?? Seems to be displaying differently from what am used to …

@ol monk, i seem to have issues/hitches loading Ktalk…mara inaniletea error mara blank screen hadi i refresh page!!! karii kii?

Hii ni matusi ama? Ati check my browser settings…nigga do u know how many tabs i have open when online on my lappy? hizo site zingine ziko sawa its only Ktalk that has issues ama ni punishment napewa na Adminstrator wa hii site juu kuna time tuliletana juu kwa inbox and he/she told me that i risk losing some sijui what!! sawa will create ana acct and see if the problem still persists

Hata pia mimi inaniletea ujinga HIVI HIVI simunajua?

MAYBE NET YA KITISURU IKO CHINI HIVIHIVI

1 Like

shida za XenForo … ata mimi inaleta uphaking… na s3x and relationshit posts hazitokei kwa all threads :mad: