@admin

how do I pm another member? aki hii ushamba ita niua

click inbox
alafu enda start a new conversation
first box weka jina ya participant na kama ni kadha separate na comma

ukimaliza click start a covo

1 Like

Oh sawa… Si unayua hii maneno ya u digitally tuli achia nyinyi vijana

NANI NA NANI?

Pia u can click on someone’s name then click start a conversation. If on operamini scroll hadi down kabisa ndio uone jina la mtu

1 Like

Sande sana boss.