Admin wa kenya wa Kenya talk anzisheni App

Wapi ametaka kukula?

Site yao ya enzi ya jambo furums.

Ila ngoja tuzoee tu.

Nawe umeliona hili eeh,yaani nilipoingia nikajiona nimerudi Jambo forums dah,JF tutaimiss sana ilikua bora mno

Jf ilikuwa imewaacha mbali sana

Kuna kitu nimekiona kinaitwa BF ,bongoforums maudhui km ya JF

application ni muhmu mpaka sasa napata uvivu kuingia tu

Shunie kumbe na ww upo…mie mpwa wako, Kheri.

K

Kabisa Nadhani hatorudia

Mh kheri yupi jamani kwahiyo wewe sio @Humble africa

kule JF. hapa im very humble…ila achana na Mshana JR, mme wa mtu yule

Download tapatalk app,then tafuta kenyatalk ndani yake…utaipata kwa mfumo wa app…