admin huu ni ufala

Muniue mukitaka but mambo ya kupea schupid characters titles like KABUDA na sijui NGOMBE mgani na senior elders tunakauka is very unfair .

9 Likes

Niaje uncle, wataka title gani mzito?

1 Like

mbona hau-ulizi kila mtu hivyo?

3 Likes

si uncle ulipeana yako? Tulia iko jikoni yapikwa.

1 Like

Enyewe better remain a NV but remain to a true course,Uwes an Ex Klist still a mere VE

1 Like

Leo these are the only threads watu watapost. Mwingine aongeze ingine tuchangie…

3 Likes

Sijui kama wameing’oa…

Statesman hii swali mumeniuliza na mtu wa SQNY kutoka 2005 na nimekuwa nikijibu . Nipewe dryfry chairman asap .

http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/admin-unatubeba-kama-viazi.21872/#post-424818

@kawambui alienda wapi? Arudi achangie huu mswada.
#MwafrikaNaUkubwa

Ongezea @uwesmake title yake Village Idiot

2 Likes

meffi

Hii ufala ya mod kufungua handle nyingine utaacha.

ADMIN KAA. NGUMUU,a bunch of VE cant arm twist you,

A better way would be to include a field where one enters the prefered title after village elder. Then trophies are set and once achieved the title triggers automatically.

@admin kama wewe pana taka fikria jibu iyo apo juu.