@Admin How Does One Become A Senior Villager?

What criteria is used to make one a senior villager? Number of posts,likes received ama ni nini? For example @Ingia and @Ka-Buda joined in February na tayari wamekuwa Senior villagers.[ATTACH=full]2209[/ATTACH] [ATTACH=full]2210[/ATTACH] [ATTACH=full]2211[/ATTACH]

FYI …u gain nothin,no need ya kubishana

it just feels good to be referred to as senior hata kama hakuna mshahara :smiley:

1 Like

angalia points mayekeke… they have more points than you… more messages too

Hebu shukisha hii jamaa cheo

:smiley:

Kutoka rank ya senior manager ninapewa cheo gani @old nongwe?

Admin mi sina shida …give him my senior post…there is a tribe (name anonymous) wanapenda cheo sana ,Mayekeke kwani wewe niwa huko ??

He he am targetting village chief.Kuna cheo kama hiyo monkey?

eeeh …hii yangu:D

Nataka cheo cha village elder… Who do I bribe?

This is a “zero bribery zone” peleka pesa yako mingi childrens home :smiley:

Be more active

these people with there cheos

nani hupewa kuku hapa, mimi naeza toa nipewe cheo ya village elder,

Yaani hii ranking inaleta shida.
Please mpe yangu roho safi.:wink:

these people with there cheos…smfh

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

Nunulia old manki ndizi…

Covers face**