Accident Alert

Hizi tuktuk haziheshimu gari kubwa.
[ATTACH=full]13079[/ATTACH]
[ATTACH=full]13080[/ATTACH]
its like this drivers have a death wish

waliponea ama vipi?

taka taka

deree aliruka kaacha passengers, waliumia kiasi tu

TAKATAKA.

Pole kwa tuktuk

[ATTACH=full]13082[/ATTACH]

3 Likes

Zinaitwangwa Kekee in Naija

1 Like

Those tyres on the trailer look worn out. The tuk tuk guy should fight it out.

@Okiya Kwa hivyo @Meria Mata ni trafiic cop ama freelancer…? Just thinking anyway.

1 Like

Huu ni mkangafuu

Yeye ni insurance broker.

Ahaa! Bingo! I now get it.