Accident Alert

@amun amepita na lunatic express
[ATTACH=full]133469[/ATTACH]
na jana huko kwa M7 modern alipita na boda
[ATTACH=full]133471[/ATTACH] [ATTACH=full]133472[/ATTACH] [ATTACH=full]133473[/ATTACH]

Wueh!! Natumai hakukuwa na maafa…

msee wa nduthi RIP, cheki vile aliingia chini ya mbus, hio ya truck na train ni freak accident hapo maji ya chumvi, slight injuries tu

Lunatic express umekuwa kama tuk tuk, was tipped over by an unloaded rig

:D:D:D:D:D

Hio ni numberplate ya nduthi. Kuna nduthi za UG apa Kenya…who possibly rides a 150cc nduthi from UG.

I said the accident happened kwa majirani, hio ni modern coast ya Kigali, it ran over the nduthi. Cheki front bumper

Noma sana