Accident Alert: kibarani

Head on collision at kibarani

Traffic on both lanes.
[ATTACH=full]132385[/ATTACH]
Deree alikua anarush kuona game.
@amun @shikoti @emali @Vin Diesel98 please check in, over

That’s why nashangaa mbona airport road imeshikana hivi. Noma sana.

Emergency crews on scene but this will take a while.
Kaa waelekea airport from Tao jipange na bodaa

Jinga nyinyi punguzeni umalaya na pombe…leo asubuhi kitu 8:30 am mjinga mwenzenu caused an accident…kutoka Emali to Masimba…more than 1hr jam…meffi nyinyi…

Cc the truck harlot @pseudonym

@Meria Mata stopover Leo ni Maili Tisa Eldoret .headed to Kampala

They really pissed you off! Didn’t the?

Wah, iyo transit mixer inakaa ya Njuca…ma Actros zingine huendeshwa kama ambulance…akiulizwa, ati kokoto itakauka. WTF.
VC @Meria Mata , niko Taru Desert naivisha kitunguu. Bado sijarudi 001

Ukirudi nivutie line, hapa jua imekuja na watoi wake, following game on radio, ferk muarabu and his old trucks

Drive safety and drink responsibly,
Half time tuko 0-0

Haha kazana na mkangafu…niko na Beiben iko na mpaka AC my fren. Next week niko area

@Meria Mata are US MACK trucks in .ke?

Yes, very few

Hehehe, niko na road patrol

hio ndo nataka kupigwa mbicha nayo …king of the road

Life on the road.
Sawa on paper.
@Meria Mata so unitaftie job ya konkodi on a serious note.dl yangu bado kuiva hizo miaka
Meanwhile Chelsea wamedungwa

Mzito siku hizi truck hazina konkodi, it’s just you, the road and your music. License ikiiva nione

acha nikue on the lookout for this truck

Yangu imeiva iko na over fifteen years lakini sijui nianzie wapi @Meria Mata

Sawa boss. Miaka 4 yatosha? Au niingie TimesT nidungwe stamp kesho kisha nikuchapie inbox?
Asante

why are you mentioning me in your useless tirade ? my double cab did not cause the accident did it?