So last year I joined college kufanya automotive engineering.After kumaliza first year nikaingia attacho na by April this year ikaisha…nafaa kurudi chuo kesho May 3 lakini sijiskii kuendelea na hiyo course banae.
Already niko job inalipa poa and I feel like saving kwanza alafu nifanye course ingine …sasa am lost on choosing which other course naweza pursue.
Mnisaidie hapa ama totally lost sijui nifanye nini?Auto was good lakini am not going down on that road…siwezani na refer za maths kila mwaka:D
Based on this…
hist B…geo B-…eng B-…kisw B-…phy C+ …maths C-…chem D+
[B]
[/B]
Wewe fanya langauge, how did you make it in that course with C- and D+ in those 2 subjects
Wazazi wamelipia,maliza course aiseh
Pia mzazi anajua siendelei akanishow nichague any other course I want…lakini nko job inalipa phty so naona tu nianze life
Hiyo job inaeza kua na growth?
Tena sana …ni Kwa wamaasai so pesa ni kibao
What are ur passion? And who advised you to venture into automotive kama ulijua utapigwa chenga mbele?
What about you do a course yenye inapelekana na your course
Young and hot blood…but now I see:D
Though it’s not late bado sijahit 20
Kama watu wanataka course iko na pesa ni wafanye PURCHASING/PROCUREMENT.
I’ll consider that one after researching kuihusu.
Rudi ufanye certificate in auto ile ya NITA haina hesabu
Nitoke KIHBT niangukie hapo neighbor NITA:D noooo
for now makanika zii banae…heri niwe broker wa ng’ombe hapa Kwa wamaasai
Kama umeiva field basi ingia online utafute certification in Hybrid and electric vehicle
Endelea na iyo job. A university degree is not the path to a better financial future, unless you’re taking a course like medicine.
if interested in comp science tafuta comp/laptop na uweke Wi-Fi kwako then join open source society university…it’s free…thank me after a year or two depending on how fast you grasp concepts
Hiyo kulipa fitii ni pesa ngapi?
Kîdû 50k or more…depends on your effort