aahhh? Wasiojulikana

alianza Bensaanane,wakafuatia wa kwenye viroba,kisha akafuata,Roma Mkatoliki, Azory Gwandi,kisha akafuata samson josia kisha akafuata zakaria,sasa ni MO dewji,filamu linaendelea ngoja nilipe kabisa pesa ya tamthilia

Sidhani kuwa hiyo sinema itaisha hivi karibuni especially chini ya jiwe.