Aaaargh! Hii pesa ya Uganda bana!

Ukiwa na 30K unachezea ligi ya MPs.. ati unaulizwa how much do you earn.. @ndovu hapa unaeza sema 800k mkenya ashtuke.

“Kumbe hii jamaa inalipwa pesa nyingi namna hii” anaweza waza sana.

Alafu anachukua calculator anapata ni 26k pesa taslimu ya kenya.

https://x.com/Goddie_Ke/status/1990047823950434754?t=qckgPYKR8mXLKqn83IXb8g&s=19

Kemya police salary inakua ngapi

1 Like

35k

Dated a police officer as a sidechick and regretted. Alitaka kuniosha pesa nikaingia mitini last year.

2 Likes

Unakula mali ya kubwa…haujipendi

2 Likes