a Real man doesn't Tambua valentines

Si ati am against valentine. Kama una galfriend ama Wife si mbaya kumpeleka for a Romantic dinner on valoz and give her flowers but what am against ni wale wanaume ambao utangaza to the whole world that its valentine. Nani cheza chini. 14th Feb unapata these kind of men amekuvalia shati ya Red, kiatu ya red pia amekudungia suit full ya red. Kiko pale town kinatembea kimeshika a bouquet of flowers while shining his eyes ati ndo raiya ijue ye si ndogo na eti anatambua valentines. Yes u may look attractive to other mwomen in town wakibaki zile za "awwwwww ,i feel jealous for his woman"lakini sisi wanaume tunakuchukulia kama Dwanzi , msee softy ama weakling. Leave the red dress code and carrying of flowers to mwomen.

Things Dwanzi men do on Valentines

  1. Wears Red, carries flowers openly kwanza zile bouquet kubwa kubwa
  2. Walks hand in hand with his mwoman in a romantic pace exchanging small kisses in public
  3. Opens door ya gari for mwoman
  4. Takes her for a romantic date kwanza zile resto pple from outside can see them. Alafu pale wakikula kina spoon feed mwoman…ati babe taste my salad. alafu zinashinda zimeshikana mikono
  5. Calls his mwoman to tell her happy valentines and that he loves her.
    5, Later on in the evening makes love to the woman in a romantic and soft way and lets woman lie on his chest after the sex

Things Real men do on valentines

  1. Unanunua one single rose flower unashow Njoro aifunge na gazetti isionekane pale streets
  2. u can wear red bt unavaa ile kitu inacheza chini like a red tie, or red socks ama red belt. kitu ambayo hai shout
  3. Apana pigia manzi simu to wish her valoz…whatsapp ni ya nini?
  4. Unampeleka dinner ndio lakini not out of love bt bcoz u wanna get sum later Mnight
  5. Pale bedminton ataona vita kama ya KDF pale Kismayu. Urarua kitu with the revenge…ile design unasema hii kitu ndo imefanya ni nunue maua, niipeleka out na nivae red…hii lazima itawaka moshi…chapa hio coomer hadi imeseme nimesullenda…kisha geuka na ulala fofofo

Nimewapeleka na rada wazito…chezeni safe maboy

22 Likes

A real man breaks rules, you seem to have set tight ones for yourself.

2 Likes

Kumbe njoro alienda kuuza maua huko germany …ebu ukimwona tena umwambie anatafutwa na CRB juu ya kudefault loan…

2 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D ufala nayo!

This —>

:D:D:D

3 Likes

:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

Kwanza hiyo kudunga red ndio huwa si-take chances nayo. Mimi huset reminder ya feb 14th “USIVAE RED”. Unaimagine kuamka tu, unajitayarisha, unavaa ile tisho yako ya red ya nguvu na kutoka kejani. Along the way unaona wanaume wanakucheki vifunny but unalenga. The further you move, the more people in red you see. Unashindwa kwani leo form ni gani?
Finally, ukiwa like 20kms from your house, inakuhit ati ni Valentines. Waa, huwezi rudi kejani kuchange, na pengine uko msoto huwezi pia ingia exhibition ubuy tisho mpya. Inabidi tu uvumilie the rest of the day.

14 Likes

kuna jamaa klost alisema unararua kitu hadi akikojoa makojoo inaenda pande ya left

6 Likes

What are women doing for us?? Ama this is just a burden for us men?
[ATTACH=full]30637[/ATTACH]

6 Likes

[ATTACH=full]30638[/ATTACH]

5 Likes

Jay never disappoints.

1 Like

Yote tu ni vanity.

1 Like

hahaha…sasa Valentines iko Sunday, mafans wa Arsenali wasivae ile red jersey ya home wavae za away zile za yellow

2 Likes

Mimi hii valentines niko juu ya Kodi na kuwatch EPL… story za kuchapa vitu on Valz is very predictable shyte I can’t do. Nawachia watoi.

2 Likes

Ama venye KMU husema unararua maku ikiraruka itashonwa

1 Like

Kuna pilot fulani iliwai nunulia dame ndai ya red siku ya valentine. Wanaume tuliona wiki ndefu hiyo court, eh. Unakumbushwa vile nani alibuyia mrembo wake ndai kama ile… Sometime later tena, “did i tell you that bla bla bought his bla bla a red bla bla”. Jasho inakutoka kwa roho vile inakimbia ukingoja kuulizwa wewe utabuy nini next.

6 Likes

…hata nitaenda KNH ni kamuliwe damu yote hio siku…staki kitu yoyote ya red:D :smiley: :smiley: :smiley:

7 Likes

Hats mimi apana tambua hii takataka inaitwo Valentine.

2 Likes

wale watoi watakutafuta

1 Like

Hiyo siku ya valentine sitaki kuona kitu ya red. Hata nyama sinunui

1 Like

Kumbe leo ni Hiyo siku ya upus.

3 Likes