[ATTACH=full]24096[/ATTACH] [ATTACH=full]24097[/ATTACH] [ATTACH=full]24098[/ATTACH]
Hapo kwa ebru code ilinienjoy
[ATTACH=full]24096[/ATTACH] [ATTACH=full]24097[/ATTACH] [ATTACH=full]24098[/ATTACH]
Hapo kwa ebru code ilinienjoy
Welldone welldone
hii ndio kodi?
Wazi jazzman…hata ukidai donations hapo tutadonate
What’s going on in here
This is very good progress mblo. Endelea kwa moyo huo huo.
WOW. This is great kakabrazza.
how do I install Jazzman Tv @Jazzman?
Jazzman tv.
Napenda sanaaa
hii kidude ilikataa kwangu
Yes, software inayo fanya mtu kuwachana na mambo ya kukatwa katwa na kuteswa teswa na DiShThieVes
Go through this category of FTA and IPTV. You will get all the answers to your questions and how to get away from mediocre tv na mambo ya kukatwa katwa na kuteswa teswa
Hehehe, ntaweka paybill number nikimaliza
hapa kunaendaje. mimi ni analogue
It’s not ready yet. Code kanichanganya kidogo, ilifanya for a few minutes nikamodify ikawacha kufanya alafu pia citizen live stream yao imepotea
Hehehe, nilikosa jina
Kodi? Version gani?
Kodi ni media centre kama windows media centre lakini sasa it is supercharged. Unaweza tazama channels kutoka dunia mzima via live streams. Channel kama akina sky sports na movies na series, bbc kibao, nat geo, discovery, movies na series kutoka zama za kale hadi leo yaani kifo cha DiShThieVes. All you need is good internet, a pc or android device and lots of time kwa sababu hautatoka kwa hiyo kiti with the amount of content available.
Sasa Kenyan channels were missing and that is what we’re remedying.
am loading this one
[ATTACH=full]24118[/ATTACH]
I hope itafanya
15.2 inataka net fast ndio ifanye, ni bandwidth hog. Download TVMC pia. Hiyo 15.2 ikikataa download 14.2.
[ul]
[li]hats off for Jazzman[/li][/ul]