4G

Naeza pata wapi modem mzuri ya 4g, kwa bei nafuu?

nunua online… safaricom shop utauuziwa 10k unless hiyo ni bei nafuu kwako

Na hii 4g ya Rob conmemore imefika town gani na gani?

3g yao iko kila mahali. na very strong

I agree 3g is everywhere but these days inanyongwa ina-perform kama Edge. Especially between 2100hrs and 00.00hrs. LTE version might just be better.

That’s the time when I get speeds of 2MB/s on 3G where i live

I get that Ocha/mashinani where I come from. Not in towns.

Shall we see 1GB/s in our lifetime?

2 Likes

I prefer good 3G to 4G juu ya battery.

kuna msee anatumia hiyo 4g, hiyo maneno nikapenda sana.

juu ni router hapo hatuna wasi.

ikifika hiyo tyme, huwa na enda mia mneti

mboss battery drain itakuwa hata kama unatumia EDGE acha kuwa paranoid for no reason

1 Like

Aii, 4G is way better than 3G in battery consumption. Signalling (communication between phone and base station) ya 4G is more efficient compared to 3G. People should be more worried about data consumption. A simple whatsapp call itakuwa expe hata kushinda call ya safcom yenyewe. Expe without unlimited data plan.

1 Like

4G + VPN=:):):slight_smile:

1 Like

Huyu jamaa ni kama anaishi mahali remote sana, mahali stima ni pata potea. Si alinunua extended battery juzi tu

wewe ndiye unyua maneno sasa

1 Like