13 seater electric matatu

1 Like

Hehe, hii sasa ni nini?

Jameni

Good for short routes like gikomba Tao

Si kambaya

1 Like

Hehe, hapo hakuna kitu ni hasara tupu kwa investors

Iko sawa if itakuwa inachapa long distance at one route per day. Ikiisha unacharge overnight

Inaweza fanya jogoo road to toa kama zile tuktuk hua uko

1 Like

The choice is yours.

Normal petrol matatu: You collect fare ya 13x600=7800 from nairobi to nakuru. Use 4,000 for fuel, so unabaki na 3,800.

New electric matatu: You collect fare ya 13x600=7800 from nairobi to nakuru. Use 500 bob to recharge battery, so unabaki na 7,300.

Kaka, that’s not how we make decisions in the matatu sector. Ukienda hivi utachomeka mbaya sana na grow very frustrated. Hesabu unapiga na pesa mkononi.

Matatu haitaki electric cars…unapea driver? Utaona moto kaka. heri ushike guzzler ujifurahishe, ujenge jina.

Zile slaps makanga hugonga mathree wakiita wadhii hii siwatabomoa battery