Uzi maalumu wa kupeana Likes, comment chochote upate like

pumbu

Village Elder
#6
Ukichanganya maji ya limao vijiko vitatu, unga wa muhogo nusu kijiko cha chai, maganda ya karanga mbichi zile nyekundu, majivu ya ndizi mshale zilizochomwa, mafuta ya mkia wa kondoo, unga wa njiti za viberiti, robo kikombe cha mkia wa pweza, na tui la nazi, unavyosoma kwa makini sasa..... mi hata sijui ukichanganya unapata nini, we endelea tu .
 

Top