PENSIONERS JIANDAE, NAOGOPA YAJAYO.........

#2
Nadhani ataacha za wanajeshi tu maana ndo kikundi pekee anachokiogopa. Kuna taarifa kuwa amewaongezea Salio (mishahara, resheni & vinywaji). Kuanzia mshahara wa July wataanza kula bingo ilhali wafanyakazi Wengine wakiendelea kusugua benchi. Kumwongezea mfanyakazi increment 1 nidharau ya hali ya juu sana kwa wafanyakazi within miaka 3 ya Fedha.
 
#7
Kama hela za korosho na mazao mengine zimevurugwa kwa kuvunja sheria wazi wazi, wastaafu (pensioners) jiandae. Atafuta pensions zote. JIANDAE KISAIKOLOJIA NA MAUMIVU. ..... "akimaliza kwetu anakuja kwenu" by Tundu Lisu.
Chuki zenu Kwake sasa zimezidi na hazivumiliki. Naamini ni ' Wapumbavu / Mapopoma ' wenzako tu ndiyo watakaokuelewa na kukuamini kwa aina yako hii ya ' Upupu / Upuuzi ' uliotuandikia hapa. Hata mumchukie vipi au mumseme vipi ila Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama na muda wake wa awamu ya Kwanza utamalizika mwaka 2020 na bado Watanzania wenye ' akili ' timamu na kubwa wenye ' imani ' nae kubwa tutamchagua atuongoze tena hadi mwaka 2025 na tukiona inafaa pia tutamwomba akubali atuongoze hadi pale Yeye mwenyewe atakapoona amechoka na anataka Kupumzika.
 
Gidheli

Village Elder
#8
Hata mumchukie vipi au mumseme vipi ila Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama na muda wake wa awamu ya Kwanza utamalizika mwaka 2020 na bado Watanzania wenye ' akili ' timamu na kubwa wenye ' imani ' nae kubwa tutamchagua atuongoze tena hadi mwaka 2025 na tukiona inafaa pia tutamwomba akubali atuongoze hadi pale Yeye mwenyewe atakapoona amechoka na anataka Kupumzika.
Bila shaka unajua hela za korosho zilikoenda.
 
#10

Mtabaki hivi hivi na huu ' Ujinga ' wenu wa Kudandiadandia tu ' Hoja ' mkidhani zitawasaidia kuwajengeni Kisiasa na Kianaharakati. CCM ilikuwepo, CCM ipo na nina uhakika tena wa 100% na nikiwa na jueri zote kuwa CCM bado ina miaka kama 5000 ijayo ya Kutuongoza Watanzania.
 
Gidheli

Village Elder
#14

Kwani mkuu hela za korosho hamjapiga.???? likatae hili kwa hoja sio porojo
 
#19
Chuki zenu Kwake sasa zimezidi na hazivumiliki. Naamini ni ' Wapumbavu / Mapopoma ' wenzako tu ndiyo watakaokuelewa na kukuamini kwa aina yako hii ya ' Upupu / Upuuzi ' uliotuandikia hapa. Hata mumchukie vipi au mumseme vipi ila Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama na muda wake wa awamu ya Kwanza utamalizika mwaka 2020 na bado Watanzania wenye ' akili ' timamu na kubwa wenye ' imani ' nae kubwa tutamchagua atuongoze tena hadi mwaka 2025 na tukiona inafaa pia tutamwomba akubali atuongoze hadi pale Yeye mwenyewe atakapoona amechoka na anataka Kupumzika.
Gentamycin umefuata nini huku KT. Bakia huko JF (TZ) ili usisikie hicho unachokiita "upuuzi wa mapopoma". We we kujiunga huku inakuhalalisha kuwa " popoma" LA upande wa pili!
 
#20
Chuki zenu Kwake sasa zimezidi na hazivumiliki. Naamini ni ' Wapumbavu / Mapopoma ' wenzako tu ndiyo watakaokuelewa na kukuamini kwa aina yako hii ya ' Upupu / Upuuzi ' uliotuandikia hapa. Hata mumchukie vipi au mumseme vipi ila Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama na muda wake wa awamu ya Kwanza utamalizika mwaka 2020 na bado Watanzania wenye ' akili ' timamu na kubwa wenye ' imani ' nae kubwa tutamchagua atuongoze tena hadi mwaka 2025 na tukiona inafaa pia tutamwomba akubali atuongoze hadi pale Yeye mwenyewe atakapoona amechoka na anataka Kupumzika.
Heshimu uhuru wa watu kutoa mawazo yao kama umekunywa maji ya bendera ni wewe usilazimishe kila mtu awe msukule wa lumumba.
 
Top