Jamii Forum yarejea hewani.

JF imerejea hewani lakini hauwezi kukomenti wala kuanzisha uzi.

Nyumbani kumenoga

SURE, nimeona pia

sasa sijui hii tutaifanya kama “ofisi ndog ya makao makuu ya chama” ?

Wacha tuitumie hivyo hivyo kama MAKTABA

Nyuzi za nyuma ndo zinaonekana, sijui nani atakuwa anaanzisha uzi

afadhali kuna mchepuko ulituma namba pm ngoja nikazichukue

Weita lete k^vant kubwa na grand malt haraka.
JF IS BACK

WTF…nashindwa kupost kitu chochote.
Kila jukwaa nakuta huu ujumbe;
"
(You have insufficient privileges to post here.)

Aisee ama Kweli Mungu Si mzee mkumba hatimaye jukwaa letu limerudi

Mkuu umejaribu kupost chochote?

Usishangae mwisho wa siku unaambiwa ujisajiri kwa majina yako yote matatu na uwatumie vitambulisho vyako kudhibitisha kweli ni majina yako.

Hapana imegoma nadhani kwa vile haina muda tangu irejee huenda Kuna mambo yanawekwa sawa cheaf

Ni kama vile lumumba ofisi ndogo za chama alafu dodoma ndo makao makuu ya chama

True na kinachofanya kazi ni PM peke yake…

You are able to communicate through PM only for now…

Cc: @Mahondaw

Alaafu unibeep ili nikupigie ukishaipata

subirini mpeleke vitambulisho vyenu sasa

Bora ilivyorudi maana JF kuna nondo nyingi sana za kimaisha kuanzia jukwaa la Uchumi/Biashara,Mambo ya Ujenzi,Mambo ya Kilimo,Nyuzi nyingi sana za kuelimisha,hata kama bado hawajatoa privilege za kukoment sio mbaya,Maxence amefanya cha maana…Siku 15 bila JF.

Maxence Mello usimchukulie poa mkuu,hapo anatafuta alternative ya kuondoa kabisa JF tanzania ili iwe nje ya nchi tuwe tunaipata kama tunavyopata facebook na instagram au twita kuepuka masharia yasiyokuwa na kichwa wala miguu.

Anakuona kupitia darubini zake ujue