Jamii Forum yarejea hewani.

Nitabaki kua msomaji tu na majukwaa machache nitapitia.
huku tu kuna dalili 100% za kuwindana.
Jamani mimi sipendi siasa.
Napenda kunywa tu…chonde chonde

Teflon Don Alex Masawe.

Imerudi hewani partially tu mkuu…hakuna permission ya kuanzisha,wana kuchangia uzi

Shaka ondoa

Bora hata hivyo tuendelee kupata Nondo za Mule.

Namie “NIDIPU.”

Hii inatosha kwa sasa. Nilikosa mahali pa kutolea stress. Funny jf bunch.
[ATTACH=full]179653[/ATTACH]

Jf kudooo

Haswaa

Jamani namba yako sina

Mpaka raha

Don Vito Corleone

sijaelewa nia yao ujue tehtehteh

Aisee