Fake news: Magufuli did not close the border with Kenya:

Encore

Village Elder
#23
There is fake news zinanedelea hapa kuhusU Border..Magufuli the African Icon hajafunga boda na Kenya. Ni Kenyata ndiyo amefunga boda.
Tz. As you Tanzania ni wakarimu hatuna presha na watu, japo mnachokochoko sana nyie makima. So far the boarder is open..njoo Bongo mpigwe na upepo wa DAR AU Zanzbar..maana hata beach nzuri hamna nyie.

East african tumebarikiwa kuwa na Diamond ( the King of Genge, Bongo fleva and all east African music), and Magufuli the Icon of African. Wanafrica mashariki tuendelee kuwaenzi hawa wakali wa Africa masharki. Hatuwezi funga boda because of Land yenu ni kame (desert) pia mna malocust kwenye mashamba yenu..So kufunga mipaka na The great nation Tanzania mtakula mawe.

Tutawaona mtajifungia ndani km watoto wa mama na bado COVID ITAWAPIGA MPKA MPATE AKILI.
"Magufuli the African Icon" :D:D:D:D
here comes another one.... "East african tumebarikiwa kuwa na Diamond ( the King of Genge, Bongo fleva and all east African music)" :D:D:D:D
Oh wait "Land yenu ni kame (desert) pia mna malocust kwenye mashamba yenu" ....yo i dont know shit about TZ yet this suckers even know about locust :D:D:D:D i bet they can even draw the Kenyan map :D:D:D:D
 
#25
Magufool only knows how to antagonize and revenge against Kenya.
Why doesn't he now also quarantine Zambian drivers?
He needs the Zambian market.

To the North there is slightly moneyed Uganda under lockdown.
To the south there is the impoverished and failing Frelimo led Mozambique(And Islamic terrorists who are effectively ruling the border areas) and slightly moneyed Malawi under lockdown
To the west there is upcoming Rwanda led by Kagame who doesn't stand for any nonsense from anyone.
Also in the west is poor as shit Burundi led by a village idiot and the most miserable nation in Africa, DRC whose lame duck president cannot handle a simple measles outbreak much less corona.
 
#26
There is fake news zinanedelea hapa kuhusU Border..Magufuli the African Icon hajafunga boda na Kenya. Ni Kenyata ndiyo amefunga boda.
Tz. As you Tanzania ni wakarimu hatuna presha na watu, japo mnachokochoko sana nyie makima. So far the boarder is open..njoo Bongo mpigwe na upepo wa DAR AU Zanzbar..maana hata beach nzuri hamna nyie.

East african tumebarikiwa kuwa na Diamond ( the King of Genge, Bongo fleva and all east African music), and Magufuli the Icon of African. Wanafrica mashariki tuendelee kuwaenzi hawa wakali wa Africa masharki. Hatuwezi funga boda because of Land yenu ni kame (desert) pia mna malocust kwenye mashamba yenu..So kufunga mipaka na The great nation Tanzania mtakula mawe.

Tutawaona mtajifungia ndani km watoto wa mama na bado COVID ITAWAPIGA MPKA MPATE AKILI.
Hii taarifa ni sahihi ila walikosea kuripoti kwa kusema aliyetangaza ni waziri wa afya. Aliyetoa hilo tamko ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mngwira wala sio ummy mwalimu kama walivyotangaza
 
Top