Confession-----How i ended up paying 300K Kunyanduana

Woooi how i ended up paying 300k kunyanduana…

“umalaya nimeacha kabisa” aki i remember very well ilikua this friday afternoon, kama nimekaa ivi tu kwa gari nikasema nichokoze demm mmoja tulipatana naye hapa kilimani tu fb. alikua anaitwa mary…according to pics zake za fb alikua kitu yenye tunasemaga ni mafuta mafuta ,parrafin parrafin…
huwezi kataa yaani matako ni ile size ya kutoa nyoka pangoni… nili slide pale inbox na kale ka mtu ka Hi…she didn’t reply on the sport,but like after 2 hrs ndio niliona hi stevo…ngai nikajua baaas hii lazima nikule …kumbe mimi ndio nakuliwo…tulichat like 1hr then akanipea no yake…nikamukol nikauliza if we can meet for coffee or out…
akanishow ako job nd atatokea kaa amechoka soo hawezi make and still ni mwisho wa mwezi ako na meeting na staff wake wa job thats friday jioni…

nikasema hallelujah nimepata business lady ambaye ni mrembo,sio sleyqueen, ako na pesa…nani mwingine kama stevo…kidogo nikamushow await kidogo ni recharge credit i will call her back…weee ata nilisikia kwa simu credit ya 250 amenitumia. nikajua baaaas huyu ashanipenda aki…kumbe ni kuvutia kuku na mahidi…
aki mary mbinguni huwezi iona ata kwa viusasa…why aki na nunu mlipewa bure…we planned we meet on the following day sato whiskey river…nikamuuliza kama nimupik akasema apana yeye ako na gari so we meet there for night out…nikajua yesu muthaka mungu hukuja ivo kwa maisha yako…mpaka nikaanza kujiuliza na bibi kazi yake ni kula tu kwa nyumba ata hayuko job…but juu ako na watoi wangu ni sawa tu…the following day on sato saa mbili nilikua whiskey river…aki kama hujai ona shetani,ndugu zake,dada zake…

PART 2

Mary alikuja na Toyata rav4 mpya kcl new model…aki c devil anakuanga na agent wengi kenya hii… na wote wako huku kilimani…mimi na noah yangu tulimeet kwanza hapo shell ili turudi pamoja kama tumejuana…waaa alivaa ka skirt kengine then matako na miguu kila mwanaume alikua anamwangalia tu vile tuko…hapo ndio nilisikia kilove kimeingia mpaka kwa bone marrow ndani na labda kifo ama mende zitutenganishe…tulipark magari then tukaamua tuingie ndani club sasa…tulikaa place moja supuu sana kwa corner…nikaamuliza atakunywa nini akasema snap na mimi nikasema jack Daniel kadogo…after 2hrs akasema ako hungry anataka food na anataka kuku.
nikamushow wacha niende nifanye order…akasema apana food atabuy, akaniuliza nakula kienyenji ama? nikasema yeah…fry or stew…nikasema dry fry…me nikama nilikua nimerukwa na akili juu nilikua nafikiria vile tu ntaikula dry fry hapa hakuna cha Cd…huyu hawezi kua na kaswende ya akina dk kwenye beats
…woooi that chick ata kama alinifanyia ivo i would like to meet her again…food ilikuja nakwambia kutoka nizaliwe sijai pewa mapenzi kiwango hiyo…yaani food ilikuja me nilikua napewa tu kama mtoto nikienda kuguza naabiwa apana its my humble duty to serve you beb…nikasema na roho i wish mungekua ivo in real life…woooi mpaka pombe nilikua napewa kama napewa na munyonyi…alikua anadance hapo kando yangu yaaani mpaka nikamushow kuna bizz nafanya and am waiting wanisend pesa na ni mob ni 200k if they can deposit some to your mpesa coz limit ni 140, akasema no worries if thwy send atanipea cash juu ako nazo kwa gari…yaaani siku ya nyani kufa miti yote huteleza na hua mirefu yote…boss nili transfer money from bank to my mpesa just kumuonyesha nko na pesa mob nd hua nafanya business kubwa kubwa…but ni zangu to hakuna mtu alisend then, nikamuekea 50k ati aniwekee atanipea…hahaha aki mjulubeng ile taabu imeniweka ni mbaya aki…kumaliza kitu saa sita akasema twende but tutaenda kwake…nikasema ni sawa…na akasema ni yeye anashort bill, i have nothing to worry na nikumbuke ako na 50k zangu…nikauliza mungu wangu watu kama hawa waminifu ivo, warembo, wanafiashara kwani walikua wapi nikichukua hiyo kiondo nko nayo nyumbani…

PART 3

alipay bill ya almost 10k na card…sisi hao nikamufuata nyuma hadi ngumba estate, kufika watchman akafungua gate mzuri akijua tu aki naenda kuchinjwa huko ndani…
kufika kwa hao anaishi nyumba ya 4 bedroom iko full finished so smart.nikapark mbele then aka ni block nyuma…akanishow karibu nyumbani my love …kuingia ivi nikakaa kwa kiti recliner nikapewa 3 remotes i change station of my choice…Nikaletewa maji moto kwa karai niweke miguu kabla aoge ili nami niende bathrooom…waaaa then nikaletewa apples na basin nikulange…aki hii maisha ata betty kyalo hawezi ishi ivi aki…screen ni 55inch nyumba iko so smart, akaenda bedroom kuchange, then alishuka from upstairs akiwa na ka towel …wooooi nikasikia kama naweza tell raila na ruto wakuje wanioshee gari in the morning…yaani tumatako tulikua tunachora ka-line hapo katikati ,yaani niliamusha mpaka mujubeng ikaanza kuuma, yaaani No expenses na hii ni nunu safi kabisa napewa bure …kweli mungu unanipenda…alipomaliza kuooga it was my turn now…akanishow niingie beedrom nichange nioge…after few minutes ivi nikiwa bathroom nikasikia bell imelia, mtu ameingia ndani na kusema kwa sauti “Beb” uko upstairs?

SUMMARY…

weee hiyo bafu ilikua na maji moto na vile mujulubeng ilikua imesimama nakwambia nilisikia imerudi tu kwa tumbo.then nikasikia tushetani twingine kwa tumbo tukinishow stevo just pray maombi yako ya mwisho juu either uliwe ,ama ukatwo mujulubeng…aki maji nikiwa bafu iligeuka kuwa icecubes…nikasikia kama nanyeshewa na mvua ya mbembe ,nikasikia kama nko kwa bathroom ya karumanzila naigeria weeeee…nikaizima nikakaa hapo kama kondoo imenyeshewa kwanza sina nguo,sina simu, funguo za gari ziko upstairs, nimesikia mwenye nyumba ameingia na pia wako watatu hayuko pekee yake…nilikaa tu hapo chini na saa hiyo nko na suit ya mamangu ki chura ama mchawi.nikaanza kuwanza nikitoa funjo hapa nitatairiswa mara ya pili…nikisema tuongee niwapee pesa sijui vile watasema juu hawa sio watu wako na shida ya pesa…nikiwa huko nilikua nasikiza tu conversation juu nikama walikaa wote hapo Table room walikua wanakunywa…nikasikia mary ametoka huko juu na kusema ngai sweetie ulikua ukuje na hukunishow juu mimi ata sijapika…wooooi stevo mtoto wa mamake nikajua mimi na deputy gavana wa kirinyaga hakuna tofauti…huyu naye mjinga mary hafikirii kuniletea simu atleast ningecall mabestee wangu wakuje ili to wanitoe hapa, i better niache gari kuliko kutolewa transformer na vile ilikua na moto mingi…

nikasikia mmoja wao ameuliza mary, kwani uko na wageni ama gari ni ya nani ile iko nje…? akasema jirani yake alikua na wageni so wakapark huku na nikama tu wajaenda…hiyo ikaisha, now kile kilifanya niambie mungu akuje anichukue kama elisha na mwili ni vile walianza discussion ya vile wameua hao wakola previous day…
kumbe ni ma CiD kiambu rd…woooi nikajua hapa makende zangu na copper lazima musalimiane ,hakuna vile naweza jump hii story ati sijakula na nko bathroom naoga bila nguo…ngai niliomba mungu tu nikamwambia jehova ata kama ni kukufa usiniachilie niuliwe juu ya nunu ya wenyewe ,tena kwa wenyewe…aki nikajiuliza hii aki ni ushetani gani sasa ilinishika navile me huogopa uji moto na mke wa mtu…yaaani sikulipa room,food na pombe ,nitazilipa na kukatwa makende ama kuuliwa ? chesu kuja mwenyewe na usitumane aki…after one hr ndio mmoja wao akasema aingie kwa choo, na anaenda choo gani? ile stevo ako…kuja kufungua haikufungua juu nimefunga na ndani mpaka na ndoo iko na maji…nikasikia ameita mike, mike kwani hii mlango iko na shida ama ni nini?

mike kuja hapo, akasema huku kuna mtu…akaita Mary; mary whatts going on here? mary akaanza kulia akisema please not what you’re thinking, but kuna my friend alikua amenitembela…nilisika amesema embu nipee hiyo bunduki…nilianza kulia ,kuhara na kujua siku ya kufa imefika nd there is no way naweza ruka hapa…nikawashow wazee ata kama mtaniua nipeeni tu 5min nijielze then muniue…wakasema unaeleza nini? hii nyumba unalipanga? nikasema apana mkubwa,bibi ni yako hii; apana sir ninini…kuna kitu yako huku? hakuna sir…kwanini wanitombea bibi kija a? mimimimimi aki ya mungu mama yangu wanjiku sijakula yeye…nikasikia mlongo mbukmbuk shetani, matako ya senge ,nyamaza na ufungue hii mlango…hujakula nini? mlikua mnaomba bila nguo ulikua unamufanyia nini…nikasikia nahuko background mary amepigishwo nduru na makofi …wenzake ata ndio walikua wanamutuliza wakimushow atulie wanipee chance kidogo nijieleze…wakanishow nifungue na nitoke,but nikawa request wanipee manguo…wakasema apana either nifungue ama mambo ikuwe mbaya wakivunja hiyo mlango …nikaaawambia woooi nko na watoto wawili ,bibi na mamangu mgonjwa ananingojea nawaomba don’t kill me i will explain all…

wakasema wee fungua wachana na news tutaziona kesho kwa tv… mpaka nilikua najaribu vile hua naona kwa movies watu wanasikanisha mikono wana disappear once pwaa pwaa… kwa afro cinema…hai kuwork najipata nko tu kwa bathroom… aaaa na uoga tu nikasema hakuna atakaye kufa mara mbili…nikafungua mlango…weeee nilivurutiwa chini kama doggi imekula mafuta na kdf packet mzima… yaani huyu alikua anauliza swali, kabla nijibu nafunikwa na kofi ,kabla nipige duru naulizwa ingine na shishiki kitu, nawekwa ingine ya masikio…woooi aki bibi ya mtu na nyumba hulipi bro wachana nayo…ndio niliwashow pls nipeeni just 5min nijieleze na mukinipata na hatia do everything u want…wakasema apana ile chance tunakupeani ni ,uite wife yako nilale nayeye hapa ukuiona then utoke uende…or useme ukipata mwanaume kwako unaweza sema afanyiwe nini…be the judge na ukijaribu kusema kitu ya ujinga utajua…nikawashow ni sawa nipeeni simu yangu iko kwa manguo hapo juu…kuna jamaa mmoja mukale alikua na huruma sana tena ni member wetu wa mafisi alikua anaelewa chapter 56 nd 57 , clause 4’5’6 ni kushikwa bahati mbaya tu…

nikamushow nataka mucheck all the conversation from Facebook mi ata nilianza kuongea nayeye jana sir, check hiyo conversation…mmmoja akachukua akasoma akasoma, mpaka akaona tulikua tumeingia kwa hao few minutes ago…kitu iliniokoa ni ccctv waka replay wakaona kweli sijakula bibi yake…but mike akasema hiyo pesa yote nililipiwa pombe, parking,kuogea kwake,kutumia towel amenunua, apples amebuy, kukalia kiti yake, nalipia na sio kupembelezwa…saa hiyo amewekelea bunduki kwa makende…nikasema sawa sawa i will pay…juu nilikua najua kwa simu nko na 140k na haiwezi pita 10k or 20k…mujulubeng ni ya maana kuliko pesa…nikasema nipewe simu ntalipa saa hii sahii…akauliza unalipa unajua ni pesa ngapi?? nikasema niambie ntalipa…akasema 1.5m …kangura…uuuui nikasema ata sijawahi pata pesa kama hizo…akasema sawa nakuletea paper uandike na security ni gari…utazileta kesho…nikasema gari ata sio yangu mi nakuanga kazi ya muhindi country bus hua nambemba plastics sir…wakachukua simu nikaambiwa weka pattern, mpesa check balance…140k… Equity balance 100k niliulizwa tu swali moja are you ready to pay this pesa uko nazo ama tufanye kazi yetu?? niliwambia i will…to cut story short nilipeana 240k na ile mary alikua nazo 50k… so far nko apa tu nawaza vile hiyo nunu imekua too expensive na ata sikukula…but ni sawa tu juu mujulus yangu iko na nimerudi kwa my sweetheart wife na my kids…

Thanks all yours stevo the teacher.

Tupewe summary.

:D:D:D:D:D:D

No one is reading all that G

alitoa nguo zote kwa nyumba halipi akawekewa setup akatoa 290k ndio awachiliwe

sijasoma

Wapi TLDR

Ni stori nzuri ingawa ni ya uongo.

yesu muthaka mungu hukuja ivo kwa maisha yako…

This is 1691 words. I salute those who’ve read all of it

Sons of Mumbi will kill me one day,ati ulikuwa unakunywishwa JD na kinyonyi?:D:D

Sons of Mumbi will kill me one day,ati ulikuwa unakunywishwa JD na kinyonyi?:D:D

E

Eeh,mjinga anyonye ndio akanyonywe/Just like you give feeds and water to a cow to ensure maximum milk returns:D:D

Nomaree… Kama ili happen… Usirudie tena…

:D:D:D:D:D

ati apples

tooo much words bwana,give a short story straight to the point,sasa ati apples kwa basin tena mara sijui oooh,

Ukitaka niweke hii hekaya kwa thread yangu ifanye iwe fupi kidogo

HAHAHA. What a story!

Life is too short. Summarize:)