[ATTACH=full]180338[/ATTACH]
NIMEHAMIA PORTUGAL
Baada ya team yangu kipenzi GERMANY kutolewa na warusha makombora ya KIVITA (mpira sio fani yako) KOREA nimeamua kuhamia URENO.
Nimejaribu kufuatilia nimeona URENO ndio team inayonifaa kwa sasa.
CRISTIANO RONALDO ni fighter,anapambana kutetea nchi yake kufa na kupona.
Just imagine kama RONALDO angekuwa na kikosi kama cha GERMANY au ARGENTINA angekuwa wapi sasa? Si angefunga magoli 8 kila mechi?
Ukweli ni kwamba,CR 7 hata akipewa timu ya taifa ya SOMALIA acheze ataipeleka WORLD CUP
Team PORTUGAL
Team RONALDO
Fanya uchunguzi kwenye magazeti na mitandaoni kwanza. Kuna tofauti kati ya Korea Kaskazini na Kusini…
mswazi
June 28, 2018, 7:28pm
5
Rudi kwenyu ng’ombe hii ya magufuli.
It’s over, you’re dead body…
Soma Title ndio utajua kuwa najua au sijui
Je, hao south korea ndio warushao makombora ya kivita?
Yes waliwahi kurusha na NK pia waliwahi kurusha
:D:D Kama hukujua kubali kuelekezwa. Acha kutapatapa…. Walirusha lini? 1950?
Kama sikujua mbona title ipo kama unavyodhani?
Mwifwa
June 28, 2018, 8:27pm
12
Deadbody:
NIMEHAMIA PORTUGAL
Nipo Belgium na France.
Zikitolewa natafuta zingine zitakazoendele
And what did you mean by this phrase, sir?
kutolewa na warusha makombora ya KIVITA (mpira sio fani yako) KOREA
Korea kusini, wanayo makombora ndio, Lakini hawajayarusha, iwe katika majaribio au katika vita. Anyway, jienjoy, haina haja ya ubishi. Wacha ibaki ulielewa ulichokuwa umeandika…
123tokambio:
And what did you mean by this phrase, sir?
Korea kusini, wanayo makombora ndio, Lakini hawajayarusha, iwe katika majaribio au katika vita. Anyway, jienjoy, haina haja ya ubishi. Wacha ibaki ulielewa ulichokuwa umeandika…
Sasa mbona title ipo vizuri kama nilikuwa sijui?
Deadbody:
[ATTACH=full]180338[/ATTACH]
NIMEHAMIA PORTUGAL
Baada ya team yangu kipenzi GERMANY kutolewa na warusha makombora ya KIVITA (mpira sio fani yako) KOREA nimeamua kuhamia URENO.
Nimejaribu kufuatilia nimeona URENO ndio team inayonifaa kwa sasa.
CRISTIANO RONALDO ni fighter,anapambana kutetea nchi yake kufa na kupona.
Just imagine kama RONALDO angekuwa na kikosi kama cha GERMANY au ARGENTINA angekuwa wapi sasa? Si angefunga magoli 8 kila mechi?
Ukweli ni kwamba,CR 7 hata akipewa timu ya taifa ya SOMALIA acheze ataipeleka WORLD CUP
Team PORTUGAL
Team RONALDO
Hizo ni shida zako binafsi…hakuna aliyekuuliza…
Boss Portugal anakufa kwa Uruguay
Deadbody:
[ATTACH=full]180338[/ATTACH]
NIMEHAMIA PORTUGAL
Baada ya team yangu kipenzi GERMANY kutolewa na warusha makombora ya KIVITA (mpira sio fani yako) KOREA nimeamua kuhamia URENO.
Nimejaribu kufuatilia nimeona URENO ndio team inayonifaa kwa sasa.
CRISTIANO RONALDO ni fighter,anapambana kutetea nchi yake kufa na kupona.
Just imagine kama RONALDO angekuwa na kikosi kama cha GERMANY au ARGENTINA angekuwa wapi sasa? Si angefunga magoli 8 kila mechi?
Ukweli ni kwamba,CR 7 hata akipewa timu ya taifa ya SOMALIA acheze ataipeleka WORLD CUP
Team PORTUGAL
Team RONALDO
Andaa timu ya kuhamia kwani, Portugal hakatizi knockout stage.