Baada ya Germany kutolewa na South Korea nimehamia rasmi kumshabikia RONALDO

Portugal

Messi will lift the trophy,
Kaa TZ kuna equity pelekeni hii huko

Nakusalimu mkuu

Heshima kwako mkuu

Heshima kwako mkuu

Hahaa nimehamia Croatia mkuu.Huwa nachagua inayoendelea

Poa.
Croatia watachomoa, wako vizuri sana

Hapo kidogo uko sawa let’s us watch football now…cr7 atunaye tena.