admin piga mtu equitor

members ile matusi jazzman ametukana wakanyama haifai kamwe kutoka kwa mtu amezaliwa na mwanamke, i guess you have a wife and wouldnt like watoto wako watukanwe na yeye. as far as i know wakanyama ni ngumu akutukane na mamako bingwa pekee ndiye hutukana watu vibaya and deserve the same. so admin we need your action now.
[ATTACH=full]74824[/ATTACH] this

10 Likes

Shaking head while listening to Christmas carols and holding my full stomach. It seems not everyone is having a good Christmas.

8 Likes

[SIZE=6]What happened here? [/SIZE]
[ATTACH=full]74826[/ATTACH]

3 Likes

Weka link ya hio matusi

1 Like

Mnakuwanga wapi kuongea siku zile hiyo mtoto hushinda imenitusi na siongei?! Mbona hamuongeangi huo wakati? Well, I’ve taken action. Muendelee kunyamaza vile vile.

8 Likes

lazima awe ni yeye amefufuka kama an associate of wa-group of handles

Weka link

but achawai kutukana na mamako? mzazi sio ule tu amekuzaa

Waaa enyewe hili jitu lipigwe equator mpaka lipate adabu

siwezi stoop that low kutusi mtu na mamayake,ukiniudhi kabisa si na kuinvite for a fist fight tumalize hio maneno?

4 Likes

Uko sure ulisoma hiyo thread vizuri ama umevaa goggle zinakuonyesha zangu pekee?

Children, obey your parents in the Lord: for this is right.

2Honour thy father and mother; (which is the first commandment with promise;)

3That it may be well with thee, and thou mayest live long on the earth.

4And, ye fathers, provoke not your children to wrath: but bring them up in the nurture and admonition of the Lord.

5Servants, be obedient to them that are your masters according to the flesh, with fear and trembling, in singleness of your heart, as unto Christ;

1 Like

Nikitusiwa na four different handles zile naignore hamukuwai ongea. Endelea kunyamaza vile vile

2 Likes

Link za mwaka mzima? Nyonya kitu unanyonya in peace.

Enyewe @Jazzman is a cool guy na ndio atusi mtu lazima walimfika kwa koo

6 Likes

we are not exempting anyone, ata evidence ikipatikana alikutukana na mamako pia ye aende no double standard iipokuwa bingwa

2 Likes

dim eye hata zile vita zetu na jirani umewahi ona tukiingiza wazazi,na huwa one unending war?

:eek::eek:…:D:D

2 Likes

bora umeelewa ngoja shule zifunguliwe ukaulize kazi

Enyewe