Zimenyce

2 Likes

Wapigane na umaskini waache ujinga

4 Likes

Mboka Ni mboka isipokuwa ya mkamba mjinga @PERDITION

2 Likes

Mwisi bado unavaa iyo look ya graffiti printed t-shirt na rugged jeans na timberlands 2024 …hamnanga nguo zingine za kuvaa ama iyo ndo uniform yenyu that’s how you know each other na mapetco na mabati kwa meno

3 Likes

Looks like the Start of a gay porn movie

1 Like

Huyo boyz ako na gun si alipewa ticket to ahera juzi tu

Niko hapa lang’ata humbwer hii leta Ile banquet yako ya kijeshi tupige sherehe , humbwer

3 Likes

Hio ngoma inatwa aje?..@Yuletapeli saidia na hio reggae

1 Like

Too experienced by Barrington Levy.

5 Likes

Hizi huwa ni gang identification uniform.

Ongeza Pete, na some funny kofia

4 Likes

Too experienced
Barrington levy

Cheap women booze

Mwanaume ni shotgun, apana hizi toy gun zingine