Zarika vs Mercado

Live on NTV

Zarika is over confident.

Ktn is also showing…

Yeimei amechapwo ama?

Wako round 7 sai

Mercado is not giving zarika space to do anything…

Zarika anatuaibisha huyo mumexican asiposhinda atakuwa ameibiwa

The ref is also very biased anatetea zarika sana

Zarika is losing. Amepatwa punches nyingi sana.

Zarika anatafuta knock out while the opponent is playing contact points boxing. Two different boxers

Zarika is overrated.

Zarika wins.

wizi. hivi ni Kama vile waliibia baba 2007 there is no way zarika won on points name vile amekula punches but isokey ni dem wetu wa paipu

Uncle wacha za ovyo that was a fair fight…

Hapo kusema kweli Mercado has been rigged

Zarika amepigwa but ameshinda…anyway tumezoea wizi so that was not new

wiziiii

Hapo zarika ameonwa war but anyho yeye ndiye ako na big money sponsor so she has to win

very true kumekuwa na rigging imagine all judges being Africans that wasn’t Fair to mercado .

Sport pesa buda!!!hio ilikuwa pre determined fight